MSAKO WA UHAKIKI UMEME MAJUMBANI NA VIWANDANI KUANZA JULAI

Na Scolastica Msewa, Pwani Wakala wa Vipimo nchini, mwezi ujao unatarajia kuanza uhakiki wa mita za umeme za majumbani na viwandani ili kuhakikisha hakuna kuwa na haki sawa kati ya shirika la Umeme nchini-Tanesco na mtumiaji wa umeme. Meneja wa Wakala wa Vipimo mkoa wa Pwani, Alban Kihula, ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Jfivetv.com